Bei nzuri kwa kweli kama unayo chukua. Dsm hakuna mbali, anayesema mbali, atuambie mbali kutoka wapi...!
Watu tulichukua viwanja miaka ya 2000 tukichekwa na watu leo hii watu wanajilaumu kwann walichelewa.
Tatizo hela, kinyerezi shule napajua. Napenda sana Kinyerezi Tabata, kuanzia pale mbuyuni mpaka mwisho, kando kando ya barabara ni kuzuri saaaana. Yaani ni kwamba sina tu hii pesa! Dah!