Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,961
- 3,923
โ ๏ธ๐ฐ๐๐ง๐๐๐จ๐ฆ๐จ๐ ๐ฏ๐ข๐๐๐ง๐๐ ๐ฏ๐ฒ๐ ๐๐๐ซ๐๐๐๐ซ๐๐ง๐ข.Kimara hii ambayo wametakiwa kubomoa nyumba zao ama ipi
Umesoma wapi kimata kwa komba mkuu?Kimata Kwa komba ndiyo wapi mkuu
Hapa wananchi si wametangaziwa kubomoa ili kupisha ujenzi wa barabara?๐๐๐๐๐๐๐ kinauzwa
๐น๐ป๐ฒ๐ฌ๐ฎ: million 5.
๐ณ๐ถ๐ช๐จ๐ป๐ฐ๐ถ๐ต: kimara mwisho kwa komba.
๐๐๐๐: mita 20 kwa 12.
Mauziano ya serikali ya mtaa
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐: 0683011003
View attachment 1850694
ษขแดสษช ษชษดแดาษชแดแด แดแดแดแดแด แดษชแดกแดษดแดแดษดษช
Hauna uhakika ndio maana unauliza.Hapa wananchi si wametangaziwa kubomoa ili kupisha ujenzi wa barabara?
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.Mkuu, kimara ni kubwa sana, be specific
Hatujaelewa vizuri, acha kuwa mbishi mkuu, screenshot hata google map tuelewa vizuri, sio kila mtu anapajua kwa komba๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.
๐ด๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐, ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐.Hatujaelewa vizuri, acha kuwa mbishi mkuu, screenshot hata google map tuelewa vizuri, sio kila mtu anapajua kwa komba
Kudondoka maana yake kufa, kuna eneo nilifika kesi ilikuwa mahakamani na baada ya mahakama kuamua yule jamaa wa upande ulioshindwa akaamua kutumia nguvu za giza.jamani nimefika mpaka kwenye kiwanja, nimeonana na mwenyekiti wa serikali za mtaa, mwenyekiti amesema iko kiwanja kina mgogoro mkubwa sana na amesema kuwa kuna watu kama watatu wamedondoka kwasababu ya iko kiwanja, sijaelewa alivyo sema wamedondoka sijui alikuwa anamaanisha nini. mimi nikaondokana tu na sentensi ya kuwa kina MGOGORO
Typing error, namaanisha Kimata badala ya Kimata. Kimata kwa komba Mimi sipajui mkuu, samahani Kama kuuliza Ni kosa mkuuUmesoma wapi kimata kwa komba mkuu?
๐๐๏ฟฝ
Kwani mleta mada yeye mwenyewe anasemaje ?
Kama mnataka viwanja si mje Huku kiluvya? Yanini kubanana hapo kimara sijui mbezi wakati usafiri upo 24/7
Njooni tupanue mji Bei kuanzia ml 5 20*20
Njia Safi
Umeme
Barabara
Bar
Chips kuku nk