C Claranito Member Joined May 26, 2014 Posts 28 Reaction score 3 Apr 3, 2015 #1 Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50 mahali Kimara Bonyokwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007
Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50 mahali Kimara Bonyokwa. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,243 Reaction score 111,269 Apr 3, 2015 #2 Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007 Click to expand... Matangazo ya JF bana... Kiwanja kinauzwa kwa matumizi yapi, wapi kilipo? Au hayo yahitaji mtu apige simu kuyajua...?
Kiwanja kinauzwa, kina ukubwa wa 57 kwa 50. Kwa taarifa zaidi wasiliana kwa namba hizi 0759908305/0716264007 Click to expand... Matangazo ya JF bana... Kiwanja kinauzwa kwa matumizi yapi, wapi kilipo? Au hayo yahitaji mtu apige simu kuyajua...?
kiraia JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 1,717 Reaction score 1,012 Apr 3, 2015 #3 Mkuu Claranito tangazo lako lina mapungufu sana. Kama umeshindwa kuweka bei weka hata mkoa kilipo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,747 Reaction score 5,302 Apr 3, 2015 #4 Au kinabebeka hadi sehemu mteja angetaka kiwepo?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,986 Reaction score 30,180 Apr 3, 2015 #5 Master plan said: Au kinabebeka hadi sehemu mteja angetaka kiwepo? Click to expand... That's why naipenda JF
Master plan said: Au kinabebeka hadi sehemu mteja angetaka kiwepo? Click to expand... That's why naipenda JF
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 222 Apr 3, 2015 #6 Yani ukiona tangazo lina hang hang kuna mambo mengi ndani yake, either huyu mtoa tangazo ni dalali pili unaweza kuta kina mgogoro so akiweka detail kamili kitagundulika.
Yani ukiona tangazo lina hang hang kuna mambo mengi ndani yake, either huyu mtoa tangazo ni dalali pili unaweza kuta kina mgogoro so akiweka detail kamili kitagundulika.