Kiwanja kinauzwa Kiluvya

king90

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
368
Reaction score
222
Wakuu habari nauza. kiwanja kipo kiluvya kwa komba
kina ukubwa wa Mita 40 kwa 23
Maji na umeme vipo.
Kipo kwenye ramani ya kijiji .
Bei 8M Negotiable
Mimi ni mmiliki halali wa kiwanja na sio dalali.
Karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…