Jaman kutokana na maisha kubana nmeamua kukata sehem ya ardhi yangu iliyoko maeneo ya ungindon na kuiuza walau nipate kujiendeleza na mambo mengne. Kiko karibia na barabara ukubwa ni 25*20. Bei ni ya kawaida tu ya 4m. Kwa mwenye uhitaj tafadhali anichek 0713806766. Karbuni sana