MWANASIASA HURU
Senior Member
- Oct 4, 2012
- 180
- 245
Weka bei humuhumu tubageni hakuna kinachoshindikana tukielewana tunakuja kilipana tu.Heri ya Mwaka mpya wadau.
Nina kiwanja changu kiko maeneo ya Kigamboni, sio mbali sana toka ferry.
ukubwa futi 98urefu na 50 upana.
barabara ipo
kama upo interested karibu pm tubagain. bei maelewano. ahsante
Namaanisha kulipana na siyo kilipana baada ya kukuona.Weka bei humuhumu tubageni hakuna kinachoshindikana tukielewana tunakuja kilipana tu.
Namaanisha kulipana na siyo kilipana baada ya kukuona.
Kigamboni kisiwani maeneo yapi?
Ndani ndani karibu na kwa mzee nani au nyumba ya nani? maeneo hayo m mwenyeji kidogo.kama ni daladala unashuka geti jeusi, unaingia ndanindani.
Ndani ndani karibu na kwa mzee nani au nyumba ya nani? maeneo hayo m mwenyeji kidogo.
0767555520Muheshimu tuwekee bei au namba ya simu
Kwa maelezo ya jamaa kiwanja kilipo sidhani kama kitakuwa ktk sehemu ya utanuzi wa barabara na kama kikiwa barabarani, huyo atakayenunua kwa 10milionz basi asubiri malipo mazuri kwa ajili ya ujenzi mpya wa barabara.Wanunuzi kuweni makini na ununuzi wa maeneo ya kigambo hasa kwenye eneo lililotengwa kwa ajili ya mji mpya. Lukuvi keshaziwekea nyumba nyingi alama ya X kwa ajili ya kupisha upanuzi wa barabara zitakazoungia kutokea daraja jipya.
Kwa hivyo kabla hujanunua make sure unaangalia masterplan ya New City pale KDA ili kujiridhisha eneo halipo sehemu ya miundombinu na matumizi halisi ya hilo eneo ( Usijejikuta eneo limekusudiwa kujenga Golf Course ). Afu ukapata taabu ya kumsaka mwekezaji kwenye uwanja wa Golf.
hapana kabisaVipi Mkuu Hakipo Ndani Ya Mita 60 Za Magufuli?