Kiwanja kinauzwa kipo kibada kigamboni, kiwanja kimepimwa na hakipo kwenye mpango mji mpya wa kigamboni, kipo block 16 kibada, kikubwa!! Bei ni nzuri milioni 30, bei inapungua!! Ukiwa wahitaji niPM kwa mawasiliano zaidi!!
Sqmt 600 ndio unasema kikubwa!? Labda kwako binafsi ndio kikubwa na ndo maana ukakinunua toka Wizarani. Je wanaouza Sqmt amzia 1200 wao watatamkaje!? HUenda hawa watasema wanauza kiwanja "kipana Sana"