Wanajamii nawasalimu.
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 176 kinauzwa maeneo ya KEKO magurumbasi A karibu na KEKO Madawa.
Kiwanja kina hati miliki halali.
Ukubwa wa kiwanja unaweza kujenga nyumba ya vyumba kumi.
Ni eneo linalofikika na huduma muhimu kama umeme zipo. Pia ni karibu hata ukitaka kwenda kariakoo.
Kwa biashara,mawasiliano na maelewano ya bei nicheki PM.