M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Oct 25, 2011 #1 Kipo kibaha mwembe saba kwa mathias 0.5km toka barabarani size nusu heka bei 6.5mil call 0716099463
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,263 Reaction score 685 Oct 25, 2011 #2 HARAkA YA nini?
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,104 Oct 25, 2011 #3 MASEBUNA said: Kipo kibaha mwembe saba kwa mathias 0.5km toka barabarani size nusu heka bei 6.5mil call 0716099463 Click to expand... Kama unauza haraka bila shaka kiwanja kina kesi mahakamani
MASEBUNA said: Kipo kibaha mwembe saba kwa mathias 0.5km toka barabarani size nusu heka bei 6.5mil call 0716099463 Click to expand... Kama unauza haraka bila shaka kiwanja kina kesi mahakamani
M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Oct 25, 2011 Thread starter #4 Nyunzo said: Kama unauza haraka bila shaka kiwanja kina kesi mahakamani Click to expand... Hakina tatizo unaweza kujiridhisha kabla ya kununua ondoa hofu.
Nyunzo said: Kama unauza haraka bila shaka kiwanja kina kesi mahakamani Click to expand... Hakina tatizo unaweza kujiridhisha kabla ya kununua ondoa hofu.
M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Oct 25, 2011 Thread starter #5 Jeykey said: HARAkA YA nini? Click to expand... Mipango binafsi.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,506 Oct 25, 2011 #6 MASEBUNA said: Kipo kibaha mwembe saba kwa mathias 0.5km toka barabarani size nusu heka bei 6.5mil call 0716099463 Click to expand... Unataka pesa ya fasta mtaji umegoma nini?
MASEBUNA said: Kipo kibaha mwembe saba kwa mathias 0.5km toka barabarani size nusu heka bei 6.5mil call 0716099463 Click to expand... Unataka pesa ya fasta mtaji umegoma nini?
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 26, 2011 #7 umekopa wap??? sacos??!
M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Oct 26, 2011 Thread starter #8 feis buku said: umekopa wap??? sacos??! Click to expand... Huna hela, kukopa ni kawaida kwa mjasiriamali yeyote na wala sina hofu na mikopo.
feis buku said: umekopa wap??? sacos??! Click to expand... Huna hela, kukopa ni kawaida kwa mjasiriamali yeyote na wala sina hofu na mikopo.
M MASEBUNA JF-Expert Member Joined Oct 9, 2011 Posts 243 Reaction score 55 Oct 26, 2011 Thread starter #9 Fidel80 said: Unataka pesa ya fasta mtaji umegoma nini? Click to expand... Hila ni jambo la kawaida kwa bussinesman yeyote wala sina hofu na hilo ,huna hela.
Fidel80 said: Unataka pesa ya fasta mtaji umegoma nini? Click to expand... Hila ni jambo la kawaida kwa bussinesman yeyote wala sina hofu na hilo ,huna hela.