dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
ni kwamba hela imepanda thamani au?27M?-GOBA
Bei ina maongezi mkuu, na pia tunaweza kugawa nusu kwa 14mMil 27???
Shida huo mwinuko watoto watakosa pahala pa kucheza, hata parking ya gari sijui itakaaje hapo. Otherwise cost za kujaza au kuchimba zitaongezeka.