Gody JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 1,250 Reaction score 418 May 28, 2012 #1 Jaman kwa wale wanaotaka kiwanja!! Kipo Dodoma ndani ya manispaa maeneo ya makulu!!karb na reli Kimepimwa doc zake zipo. Maji yapo karbu kama nyumba 2...3 hivi ya kusogeza tu! Na umeme pia! Bei maelewano!
Jaman kwa wale wanaotaka kiwanja!! Kipo Dodoma ndani ya manispaa maeneo ya makulu!!karb na reli Kimepimwa doc zake zipo. Maji yapo karbu kama nyumba 2...3 hivi ya kusogeza tu! Na umeme pia! Bei maelewano!
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Jun 6, 2012 #3 Ukubwa??
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Jun 8, 2012 #4 kakimbia
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Jun 8, 2012 #5 weka bei ya kuanzia kabla ya kuelewana!