F Frank M Clement Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 182 Reaction score 58 Sep 10, 2014 #1 sifa za kiwanja:kinatazama barabara ya shapria inayoelekea veta. kipo mita 100 kutoka katika kibao cha chuno sekondari. :Ni medium density (kimepimwa) :Kinauzwa kwa bei nafuu sana. Ukitaka kukiona tuwasiliane kwa simu :0782-388989 :0652-388989 Attachments SAM_2932.JPG 1.6 MB · Views: 177 SAM_2938.JPG 1.6 MB · Views: 117 SAM_2936.JPG 650.1 KB · Views: 162
sifa za kiwanja:kinatazama barabara ya shapria inayoelekea veta. kipo mita 100 kutoka katika kibao cha chuno sekondari. :Ni medium density (kimepimwa) :Kinauzwa kwa bei nafuu sana. Ukitaka kukiona tuwasiliane kwa simu :0782-388989 :0652-388989
Dr wa ukweli JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 900 Reaction score 274 Sep 10, 2014 #3 biashara bila bei hupati mnunuzi au unaona raha kila mtu kukupigia kukuuliza bei kina ukubwa gani ??? wewe ni dalali??
biashara bila bei hupati mnunuzi au unaona raha kila mtu kukupigia kukuuliza bei kina ukubwa gani ??? wewe ni dalali??
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,831 Sep 10, 2014 #4 weka bei yako nipo hapa coco beach.