Wamajanga Senior Member Joined Jun 24, 2014 Posts 133 Reaction score 47 Oct 20, 2014 #1 Boma la vyumba vinne linauzwa lipo mzambarauni chamazi na gari linafika mpaka mlangoni,lipo mita 200 kutoka barabara ya kuelekea katika uwanja wa klabu ya azam. Bei ni maelewano mawasiliano ni 0689005003 0654963458
Boma la vyumba vinne linauzwa lipo mzambarauni chamazi na gari linafika mpaka mlangoni,lipo mita 200 kutoka barabara ya kuelekea katika uwanja wa klabu ya azam. Bei ni maelewano mawasiliano ni 0689005003 0654963458
BABU KIDUDE JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,587 Reaction score 918 Oct 21, 2014 #2 weka bei ya kaunzia kupunguza simu zisizo na masingi
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Oct 21, 2014 #3 Ukubwa kiasi gani?bei?mitaa yangu hiyo,nyumba nyeupe,kanisani,kwa Mkongo,Chamazi magengeni,bamia...