Peterkk Member Joined May 8, 2020 Posts 37 Reaction score 43 Apr 23, 2022 #1 Kiwanja kinauzwa bukoba nyanshenye bukoba mjini kwa wazawa wa kagera. ~Size 20x40m ~Price milion 5 ~Negotiation is there. ~whatsap 0767579770
Kiwanja kinauzwa bukoba nyanshenye bukoba mjini kwa wazawa wa kagera. ~Size 20x40m ~Price milion 5 ~Negotiation is there. ~whatsap 0767579770
SMART GHOST JF-Expert Member Joined Feb 3, 2020 Posts 2,657 Reaction score 10,411 Apr 23, 2022 #2 "Negotiation is there" Kila la kheri mkuu
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Apr 23, 2022 #3 Sikuhizi bukb mnauza ardhi..kweli dunia inabadilika..? #MaendeleoHayanaChama
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,296 Reaction score 96,555 Apr 23, 2022 #4 jiwe angavu said: Sikuhizi bukb mnauza ardhi..kweli dunia inabadilika..? #MaendeleoHayanaChama Click to expand... sasa kama ni wa kuja (munyamahanga) ana anataka kurudi mumahanga kwao (overlake) anafanyaje?
jiwe angavu said: Sikuhizi bukb mnauza ardhi..kweli dunia inabadilika..? #MaendeleoHayanaChama Click to expand... sasa kama ni wa kuja (munyamahanga) ana anataka kurudi mumahanga kwao (overlake) anafanyaje?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,296 Reaction score 96,555 Apr 23, 2022 #5 Peterkk said: Kiwanja kinauzwa bukoba nyanshenye bukoba mjini kwa wazawa wa kagera. ~Size 20x40m ~Price milion 5 ~Negotiation is there. ~whatsap 0767579770View attachment 2197385View attachment 2197386View attachment 2197387 Click to expand... sq m 800 kwa 5M very cheap! au kuna maji maji (lutunga)
Peterkk said: Kiwanja kinauzwa bukoba nyanshenye bukoba mjini kwa wazawa wa kagera. ~Size 20x40m ~Price milion 5 ~Negotiation is there. ~whatsap 0767579770View attachment 2197385View attachment 2197386View attachment 2197387 Click to expand... sq m 800 kwa 5M very cheap! au kuna maji maji (lutunga)
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,737 Reaction score 81,807 Apr 23, 2022 #6 Retired said: sq m 800 kwa 5M very cheap! au kuna maji maji (lutunga) Click to expand... Toina shumuni ? Nobaza baza
Retired said: sq m 800 kwa 5M very cheap! au kuna maji maji (lutunga) Click to expand... Toina shumuni ? Nobaza baza
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,544 Reaction score 19,491 Apr 23, 2022 #7 jiwe angavu said: Sikuhizi bukb mnauza ardhi..kweli dunia inabadilika..? #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Bukoba mjini ardhi inauzwa vzr tu...
jiwe angavu said: Sikuhizi bukb mnauza ardhi..kweli dunia inabadilika..? #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Bukoba mjini ardhi inauzwa vzr tu...
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Apr 23, 2022 #8 Retired said: sasa kama ni wa kuja (munyamahanga) ana anataka kurudi mumahanga kwao (overlake) anafanyaje? Click to expand... Wahay kama wachaga hawauzagi ardhi..mpaka vikao vya ukoo vikubali...mji mzima umezungukwa na migomba...hata nyumba hazionekani. #MaendeleoHayanaChama
Retired said: sasa kama ni wa kuja (munyamahanga) ana anataka kurudi mumahanga kwao (overlake) anafanyaje? Click to expand... Wahay kama wachaga hawauzagi ardhi..mpaka vikao vya ukoo vikubali...mji mzima umezungukwa na migomba...hata nyumba hazionekani. #MaendeleoHayanaChama
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,702 Reaction score 41,865 Apr 23, 2022 #9 instanbul said: Bukoba mjini ardhi inauzwa vzr tu... Click to expand... Kama wakuja utauziwa ardhi mbovu sana..mabondeni au kwenye mawe. #MaendeleoHayanaChama
instanbul said: Bukoba mjini ardhi inauzwa vzr tu... Click to expand... Kama wakuja utauziwa ardhi mbovu sana..mabondeni au kwenye mawe. #MaendeleoHayanaChama
Seth saint JF-Expert Member Joined Oct 27, 2020 Posts 1,909 Reaction score 4,702 Apr 23, 2022 #10 Haya_Land said: Toina shumuni ? Nobaza baza Click to expand... Taina iyela ogu namubona.Chonka si nyanshenye luba lutunga si owaishe😆
Haya_Land said: Toina shumuni ? Nobaza baza Click to expand... Taina iyela ogu namubona.Chonka si nyanshenye luba lutunga si owaishe😆
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,737 Reaction score 81,807 Apr 23, 2022 #11 Seth saint said: Taina iyela ogu namubona.Chonka si nyanshenye luba lutunga si owaishe😆 Click to expand... Olutunga nikwo chonka eshimuni tainayo nabaza baza😀
Seth saint said: Taina iyela ogu namubona.Chonka si nyanshenye luba lutunga si owaishe😆 Click to expand... Olutunga nikwo chonka eshimuni tainayo nabaza baza😀
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,298 Reaction score 44,767 Apr 23, 2022 #12 Retired said: sq m 800 kwa 5M very cheap! au kuna maji maji (lutunga) Click to expand... Mimi mwenyewe nashangaa au kwa vile sikumbuki Nyanshenye iko wapi. Bukoba mjini na bei rahisi hivi
Retired said: sq m 800 kwa 5M very cheap! au kuna maji maji (lutunga) Click to expand... Mimi mwenyewe nashangaa au kwa vile sikumbuki Nyanshenye iko wapi. Bukoba mjini na bei rahisi hivi
instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,544 Reaction score 19,491 Apr 23, 2022 #13 jiwe angavu said: Kama wakuja utauziwa ardhi mbovu sana..mabondeni au kwenye mawe. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Mbona kuna eneo zuri sana kata za buhembe nshambya na ihungo kuna wasukuma wajaluo wakurya kibao tu.... Hayo unayosema sio kweli...labda huko vijijini ila bukoba mjini ardhi unapata vzr tu tena kwa bei ndogo
jiwe angavu said: Kama wakuja utauziwa ardhi mbovu sana..mabondeni au kwenye mawe. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Mbona kuna eneo zuri sana kata za buhembe nshambya na ihungo kuna wasukuma wajaluo wakurya kibao tu.... Hayo unayosema sio kweli...labda huko vijijini ila bukoba mjini ardhi unapata vzr tu tena kwa bei ndogo
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,296 Reaction score 96,555 Apr 23, 2022 #14 T14 Armata said: Mimi mwenyewe nashangaa au kwa vile sikumbuki Nyanshenye iko wapi. Bukoba mjini na bei rahisi hivi Click to expand... Umeona eh! Nyanshenye ni mjini kabisa...
T14 Armata said: Mimi mwenyewe nashangaa au kwa vile sikumbuki Nyanshenye iko wapi. Bukoba mjini na bei rahisi hivi Click to expand... Umeona eh! Nyanshenye ni mjini kabisa...
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,296 Reaction score 96,555 Apr 23, 2022 #15 Haya_Land said: Toina shumuni ? Nobaza baza Click to expand... wewe wasema!