Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,805 May 16, 2016 #1 Wakuu kuna kiwanja kinauzwa hapo block 41 karibia na biafra. Nimetumiwa msg nami naiscreenshot hapa ili nisijeonekana dalali, Kwa wanaotumia simu najua picha haitafunguka, details ni kuwa Eneo ni mita za mraba 351, kina documents zote muhimu., jamaa anataka mil 240, ila mazungumzo yapo. Mawasiliano, hapa nahusika, nipigie mwenyewe 0719 429 913
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa hapo block 41 karibia na biafra. Nimetumiwa msg nami naiscreenshot hapa ili nisijeonekana dalali, Kwa wanaotumia simu najua picha haitafunguka, details ni kuwa Eneo ni mita za mraba 351, kina documents zote muhimu., jamaa anataka mil 240, ila mazungumzo yapo. Mawasiliano, hapa nahusika, nipigie mwenyewe 0719 429 913