Kiwanja kinauzwa bagamoyo

kumbombakiki

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
26
Reaction score
22
kiwanja kinauzwa kipo bagamoyo keep left ya bagamoyo - msata road, ni m 100 Toka barabara ya lami ya kwenda msata kina mita za mraba 3360(square meter) na kina hati. Bei maelewano. Kwa mawasiliano piga simu namba 0754579243/ 0784478563/ 0653 723072. Karibuni.
 
Ni eneo zuri kwa biashara, apartment, lodge, na uwekezaji wowote njoo ujionee na ujiridhishe
 

nitafutie vya nje ya mji nina uwezo mdogo kama m2
 
Sawa mkuu kipo kimoja maeneo ya makurunge heka tatu kama na nusu mil 2 hadi 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…