N Ntetema Member Joined Apr 17, 2012 Posts 15 Reaction score 23 Feb 5, 2015 #1 Kiwanja 25 kwa 50 kimepimwa kina ofa karibu na shule ya nia njema sekondari, ni kizuri sana kwa kweli. Kinafaa kwa makazi hata biashara. Bei 12 mil, maongezi yapo. Piga 0714 440 141 / 0754 622 121.
Kiwanja 25 kwa 50 kimepimwa kina ofa karibu na shule ya nia njema sekondari, ni kizuri sana kwa kweli. Kinafaa kwa makazi hata biashara. Bei 12 mil, maongezi yapo. Piga 0714 440 141 / 0754 622 121.
kyalankota JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 2,594 Reaction score 1,463 Feb 5, 2015 #2 Aisee napajua kama unelekea sanzale unakata kulia! Eneo zuri sana hilo! Ntakuja nipacheck!
N Ntetema Member Joined Apr 17, 2012 Posts 15 Reaction score 23 Feb 5, 2015 Thread starter #3 Nauzia shida tu. Dalali hatakiwi. Pazuri sana. Pamejengeka haswa hakuna uswahili