Kiwanja Kinauzwa Arusha

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,569
Reaction score
12,208
Nyumba (pagala) lenye eneo la 20m kwa 25m inauzwa kwa bei ya Tsh 25,000,000/=.
Lipo eneo la Saw Mill - Sombetini.Kwa mawasiliano Tel. 0715313676.(price negotiable) Bei maelewano.

 
Najaribu ku upload picha inanigomea.Ngoja ni hire expart

 
Mkuu hiyo bei ni kiwanja au kiwanja pamoja na nyumba.

Nyumba (pagala) lenye eneo la 20m kwa 25m inauzwa kwa bei ya Tsh 25,000,000/=.
Lipo eneo la Saw Mill - Sombetini.Kwa mawasiliano Tel. 0715313676
 
Hilo ndio tatizo la Arusha, kutaja milioni 25 ni jambo dogo tu!
 
Hata bure sitoi hela yangu.

Umeshasema bure,hela unatoaje?Kuwa mstaarabu,hili jukwaa la matangazo siyo mabishano.Kama huna pisha wenzako wanatafuta
 
Hilo ndio tatizo la Arusha, kutaja milioni 25 ni jambo dogo tu!

Arusha viwanja ni hot cake,Hiki kiwanja kipo strategic area na kinagombaniwa kwa taarifa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…