A Allam Senior Member Joined May 4, 2013 Posts 142 Reaction score 9 Jan 19, 2014 #1 Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi
Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi
B Butati Member Joined Aug 23, 2013 Posts 11 Reaction score 4 Jan 19, 2014 #2 Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk
Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk
Vitendo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 582 Reaction score 104 Jan 20, 2014 #3 Butati said: Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk Click to expand... Ukubwa gani?kinyerezi ipi na bei ni kiasi gani?
Butati said: Kiwanja kipo kinyerezi, kikubwa pia pana maji na barabara inapita pembeni ya kiwanja, umeme , utulivu wa eneo husika ni sifa mojawapo, nipe contact yk Click to expand... Ukubwa gani?kinyerezi ipi na bei ni kiasi gani?
Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Jan 20, 2014 #4 Allam said: Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi Click to expand... Kipo kizuri Mbezi ya kimara na kina hati kwa milioni 5
Allam said: Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi Click to expand... Kipo kizuri Mbezi ya kimara na kina hati kwa milioni 5
L laiza JF-Expert Member Joined Jan 2, 2013 Posts 1,062 Reaction score 140 Jan 20, 2014 #5 Nina shamba ekari tatu chanika naweza kukumegea nusu eka kwa milioni zako nne tuwasiliane 0784211726
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Jan 20, 2014 #6 Kipo makazi mapya mlandizi kina ukubwa wa ekari 1, bei milioni 1.5 piga au text 0769142586
A Allam Senior Member Joined May 4, 2013 Posts 142 Reaction score 9 Jan 20, 2014 Thread starter #7 Kina ukubwa gani jamaa yangu
A Allam Senior Member Joined May 4, 2013 Posts 142 Reaction score 9 Jan 20, 2014 Thread starter #8 Ukubwa gani?maji?umeme?hati?eneo bondeni au juu?
A Allam Senior Member Joined May 4, 2013 Posts 142 Reaction score 9 Jan 20, 2014 Thread starter #9 laiza said: Nina shamba ekari tatu chanika naweza kukumegea nusu eka kwa milioni zako nne tuwasiliane 0784211726 Click to expand... sifa zake ni zipi?mfano umeme ,maji vipo jirani? Au baada ya muda gani vitapatikana au kun mpango wa huduma hizo kufika hapo mahala kwa miaka ya karibuni?
laiza said: Nina shamba ekari tatu chanika naweza kukumegea nusu eka kwa milioni zako nne tuwasiliane 0784211726 Click to expand... sifa zake ni zipi?mfano umeme ,maji vipo jirani? Au baada ya muda gani vitapatikana au kun mpango wa huduma hizo kufika hapo mahala kwa miaka ya karibuni?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Jan 20, 2014 #10 Gazillionaire said: Kipo kizuri Mbezi ya kimara na kina hati kwa milioni 5 Click to expand... Kina ukubwa gani??
Gazillionaire said: Kipo kizuri Mbezi ya kimara na kina hati kwa milioni 5 Click to expand... Kina ukubwa gani??
dolphine Member Joined Feb 28, 2014 Posts 47 Reaction score 1 Mar 13, 2014 #11 Kipo hapa mbezi bech tangibovu maelezo zd njoo pm
Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Mar 14, 2014 #12 Allam said: Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi Click to expand... Njoo uchukue heka 4 kwa hiyo pesa, Mwasonga kigamboni.
Allam said: Nina mil 4 nataka uwanja iwe ni chanika,kitunda,pugu au gongo la mboto ,tafadhari weka sifa za kiwanja chako,ili kunishawishi Click to expand... Njoo uchukue heka 4 kwa hiyo pesa, Mwasonga kigamboni.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,371 Reaction score 88,582 Mar 14, 2014 #13 Gazillionaire said: Njoo uchukue heka 4 kwa hiyo pesa, Mwasonga kigamboni. Click to expand... Weka number
Gazillionaire said: Njoo uchukue heka 4 kwa hiyo pesa, Mwasonga kigamboni. Click to expand... Weka number
Gazillionaire JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 235 Reaction score 59 Mar 14, 2014 #14 King Kong III said: Weka number Click to expand... Nimeku PM