Kiwanja kinahitajika

NONGWA

Senior Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
142
Reaction score
116
Habari wadau wa JF nahitaji kununua kiwanja kiwe na ukubwa wa kuanzia 25 x 25 hadi 40 x 40 maeneo ni kimara,mbezi hadi kibamba pia kikiwa maeneo ya goba au salasala kitafaa.mwenye taarifa kuhusu hilo ani PM.KWA SASA NIMECHOKA KUITWA BABA MWENYE GARI NATAKA KUITWA BABA MWENYE NYUMBA........(ANGALIZO.....bei iwe 3m hadi 6m):wave:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…