Naomba kiwe kikubwa kidogo size kama 35 kwa 40 au zaidi. Bei utaniambia lakin usisahau na size yake.
Kama unacho kidogo pia niPM.
PM ningependelea zaidi au hata hapa jamvini mwaga mavitu
kuna kimoja kipo kihonda kina nyumba imefika kwenye lenta 7m . Uwanja si mkubwa sana lakini unatosha paking ya kama gari nne. Na kama sio mbaya naomba kujua bajeti yako niweze kukuuunganisha na wadau
kaka naona kama kinaweza kunifaa... Kihonda maeneo gani? Mi nilitaka kiwanja peke yake ili budget iwe poa zaidi. Lakini hata hicho kitanifaa tuu ili mradi nikione fasta.