Wakuu ninahitaji kiwanja maeneo ya Mbagala Chamazi, Mbande na maeneo ya jirani. Kiwanja kiwe na hati na kisiwe na mgogoro, ukubwa ni kuanzia mita 25*30 na offer yangu ni 4mil tsh!
Kama unacho au kuna mtu unamfahamu basi wasiliana nami kwa PM au 0767698281.
Asanteni kwa ushirikiano!