Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Nov 25, 2014 #1 Nnatafuta Kiwanja Chanika/Goba au Kitunda 20X30 au 20X30. Nina 2.5Ml. Mwenye nacho(Kiwanja)karibu na barabara kuu Isizidi 1KM. Ani PM tafadhali. NB: Kwa Goba, Dau ntaongeza hadi 3.5ml.
Nnatafuta Kiwanja Chanika/Goba au Kitunda 20X30 au 20X30. Nina 2.5Ml. Mwenye nacho(Kiwanja)karibu na barabara kuu Isizidi 1KM. Ani PM tafadhali. NB: Kwa Goba, Dau ntaongeza hadi 3.5ml.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 11,020 Reaction score 10,432 Nov 25, 2014 #2 Mtafute mtu anaeitwa Mac Anton 0713 565999 Yumo humuhumu anavyo kibao Chanika huko.
R Reazon Zeph Member Joined Aug 24, 2013 Posts 82 Reaction score 6 Dec 5, 2014 #3 kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha! hakina hati doc muhimu za makabidhiano na serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25! serious buyer ni pm! dalali hatakiwi!
kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha! hakina hati doc muhimu za makabidhiano na serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25! serious buyer ni pm! dalali hatakiwi!