Nimetoa email address yangu na wahitaji wamekwisha anza kunitumia email. Naamini mtu anayehitaji atatuma email na tutaanza mawasiliano rasmi. Kuna wanaosema sikutaja kitu kimoja tu ambaho ni bei lakini nafikiri unapotaka kununua kiwanja ni vizuri ukajua mambo mengine kama 1. Kina hati 2. kiko umbali gani kutoka barabarani 3. kuna huduma gani za kijamii karibu n.k.