Iyo hailipi kaka ongeza. Angalia PM nimekutumia MSGMkuu 3m vipi?...nikupe 2 baada ya mwezi nikupe 1
Vipi kaka hakipungui kidogo?
Hiyo ndio bei yake sasa...3.5m tufanye biashara!
Tuwasiliane kupitia contact nilizoweka mkuu..
Ok,Bado kipo ila siwezi kuguarantee hadi lini..Kiongozi angalia PM
Angalia PM. Njoo ukione kwanza then tutaelewana tu.Vipi 3M mkuu?
Eneo kilipo ni Mapinduzi East,Barabara kuu ya kuelekea UDOM ukiwa unaiacha Makulu ni upande wa kushoto. Kiko karibu na chuo. Bomba kuu la maji liko kama mita sita kutoka kiwanja kilipo.Nguzo za umeme nazo haziko mbali pia. Hiki kiwanja kimepimwa na CDA na nimekiwekea mipaka pande zote. Pande zake hazilingani zote, yani mita 27,27,23 na 15. Bei ni 3.5M. Hamna dalali mimi ndie mmiliki. Kwa mawasiliano SMS/PIGA 0713087251.
Bado haijatoka ila ndio zoezi linalofanyika hivi sasa..Hati imekwishatolewa?
Bado kipo mkuu? kama kipo vipi 3M?
Kaka mzigo upo huu?
Vipi 3M mkuu?