KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,943 Reaction score 9,457 Sep 14, 2011 #1 Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni! ukubwa sqmitter 1646 Bei 25ml Kimepimwa kipo Block no 22. Kwa mhitaji PM tupeane maelekezo zaidi Asanteni. 3
Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni! ukubwa sqmitter 1646 Bei 25ml Kimepimwa kipo Block no 22. Kwa mhitaji PM tupeane maelekezo zaidi Asanteni. 3
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,965 Reaction score 30,132 Sep 15, 2011 #2 Mbona mnakua wezi namna hiyo? Kigamboni waliuza kwa Tshs 6,000/= kwa Sqr Mtr, Kwa ukubwa huo bei ya Serikali ni kama 9,876,000/=, yaani hat kama ni kuweka faida but sio parefu namna hiyo, Nyinyi ndio Mungu anawasubiri kwa hamu siku ya kiama,
Mbona mnakua wezi namna hiyo? Kigamboni waliuza kwa Tshs 6,000/= kwa Sqr Mtr, Kwa ukubwa huo bei ya Serikali ni kama 9,876,000/=, yaani hat kama ni kuweka faida but sio parefu namna hiyo, Nyinyi ndio Mungu anawasubiri kwa hamu siku ya kiama,
MachoMakavu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 367 Reaction score 44 Dec 30, 2011 #3 Hichi kiwanja bado kipo?
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,033 Dec 30, 2011 #4 MachoMakavu said: Hichi kiwanja bado kipo? Click to expand... kama hakipo wasiliana na mimi nikakupimie eka
MachoMakavu said: Hichi kiwanja bado kipo? Click to expand... kama hakipo wasiliana na mimi nikakupimie eka