Mkuu. mi ni dalali ninavyo viwanja vilivyopimwa katika maeneo yote uliyo yataja. sasa naomba kujua unataka kiwanja cha ukubwa gani? budget yako kiasi gani? nina uhakika mkubwa wa kukupatia kiwanja ndani ya siku 3. kuna commission utanilipa . zaidi 0685 312326