Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Dec 25, 2017 #21 msonganzila said: Bei kwa kuanzia 750Million....ni Kiwanja tu Hakuna Nyumba pale kuna Fance upande wa Mbele ya Bati,napatikana kwa 0683-011022 Click to expand... mashine ya efd unayo?ukiuza toa risiti mkuu
msonganzila said: Bei kwa kuanzia 750Million....ni Kiwanja tu Hakuna Nyumba pale kuna Fance upande wa Mbele ya Bati,napatikana kwa 0683-011022 Click to expand... mashine ya efd unayo?ukiuza toa risiti mkuu
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,866 Reaction score 6,616 Dec 25, 2017 #22 Kiwanja square meter 190 unauza kwa hiyo bei kweli?
KWEZISHO JF-Expert Member Joined Jan 29, 2016 Posts 7,519 Reaction score 6,524 Dec 25, 2017 #23 msonganzila said: Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........ Click to expand... Sema bei yako, au ndo mazagazaga ya xmass yanakufikirisha k'koo
msonganzila said: Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........ Click to expand... Sema bei yako, au ndo mazagazaga ya xmass yanakufikirisha k'koo
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,460 Dec 25, 2017 #24 kaliakoo ndo alikozaliwa ExPm Pinda?
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,691 Reaction score 11,276 Dec 26, 2017 #25 msonganzila said: Umeona wapi bei,mbona haijawekwa hapo..?? Click to expand... Anakukumbusha kuwa Bei hujaweka
msonganzila said: Umeona wapi bei,mbona haijawekwa hapo..?? Click to expand... Anakukumbusha kuwa Bei hujaweka
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Dec 26, 2017 #26 MUONGOZO: Zingatia haya unapoweka tangazo lako!