Kiwanja kaliakoo

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
 
Nauza Kiwanja Kaliakoo Mtaa wa Tandamti na Sikukuu..... Mwenye kuhitaji karubu Sana........
Mbona bei rahisi sana??,
Million 20 kariakoo??
Au Kariakoo ya Lindi labda
 
Tangu uzaliwe ulishawahi kuokota hela kariakoo?
 
Bei kwa kuanzia 750Million....ni Kiwanja tu Hakuna Nyumba pale kuna Fance upande wa Mbele ya Bati,napatikana kwa 0683-011022
 
Hela nyingi ya nini? Serikali inahamia Dodoma....acha fikra za zamani
 
Hali ilivyo tutashindwa kutofautisha VYUMA na BANGI!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…