Goba lulu sana. Back 2007 nilinunua kiwanja cha mita 20 kwa 25 kwa 2 million. Juzi mtu anataka nimuuzie kwa milioni 15, nikamwangalia kisha sikumjibu kitu chochote. Goba pazuri sana jamani, watu sasa hivi wamejenga mijumba ya ajabu sana.
kipo st.joseph (goba kunguru) kina nyumba ya
kurekebisha ina umeme na eneo lakutosha!
hakina hati doc muhimu za makabidhiano na
serikali ya mtaa zipo! ukubwa wa eneo 20 * 25!
serious buyer ni pm!