Kiwanja For sale

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Habari Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi,
Eneo linauzwa,
liko maeneo ya Moshi linapakana na Barabara ya Kibosho na kwa chini ni barabara kuu ya Arusha---moshi, linafaa kwa kuishi na biashara pia kwa frem za maduka au she'll


ukubwa :1ekari
Bei :145m
 
eneo liko KiBOSHO ROAD
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…