Kiwanja Dar

mwananyiha

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
248
Reaction score
43
Kiwanja kinapatikana kwa bei ya 15m kipo salasala- Kidzudi maeneo ya mbezi beach kina ukubwa wa 60 kwa 44. Hakijapimwa umeme ulishafika siku nyingi na barabara nzuri. Pia kinaweza kukatwa nusu kwa nusu bei. Mawasiliano 0712232849 karibu kabla hujachelewa
 
15m mbona ndogo kwa maeneo hayo na ukubwa wa kiwanja!? ...au kuna mchezo hapo?
 
Ni kweli lukindo, I am worried about this story kwa kweli.
 
Mbezi beach kiwanja mil15?? Mhhh isije ikawa papa msofe type!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…