screentouch
Member
- Jun 11, 2014
- 91
- 45
Acha majungu nunua kiwanja au acha mkuu Kiwanja kipo pale kwa masister Mimi nilikwenda kukiona sema Salio langu lilikuwa finyu. Kuhusu umeme nimeona nguzo zinasambazwa nazani karibuni kutakuwa tayari.Acha story weka plot no na block. Mimi naishi huko. Tatizo ni umeme
Kipo Ilala Buyuni. Kina hatimiliki, bei 12.5milioni, ukubwa 400sqm 20x20. Kipo eneo la biashara ni miongongi mwa vile viwanja vya mradi wa viwanja elfu 20 vya mwaka 2000.
Mtaa wanaishi VIP tupu, mtaa umepangika umejengeka magorofa yakufa mtu. Yaani ukifika pale utapapenda. miundombinu ya umeme na maji tayari manispaa ya Ilala imeshaleta karibu na jamii.
Simu. 0765941752
Karibuni
Kipo Jirani na shule ya ma Sister kama unaelekea mbondole NAMBA ya hati mpaka niwasiliane na muuzaji nitaiweka hapa. Karibuni.
Mtu mmoja, ID tofauti?
Mawazo yako hayo mkuu.
Ni swali tu kama kuna mnunuaji ajue wa kumtafuta...
Acha story weka plot no na block. Mimi naishi huko. Tatizo ni umeme
Karibu tufanye biashara. Pia mimi natafuta Kiwanja kikubwa angalau kiwe 30x40 au hata viwili double. Ukipata mtu anauza niPM namba yake.
Nazani hujaelewa. Hiki cha 20x20 ni kidogo namimi nahitaji kikubwa kutokana na mipango yangu lakini sio kwamba nimeshindwa bei.
Nenda ukawadanganye watoto wenzioAcha majungu nunua kiwanja au acha mkuu Kiwanja kipo pale kwa masister Mimi nilikwenda kukiona sema Salio langu lilikuwa finyu. Kuhusu umeme nimeona nguzo zinasambazwa nazani karibuni kutakuwa tayari.
Hapo sikumaanisha finyu exact nilitumia kauli hiyo kumkimbia mwenye Kiwanja lengo ilikuwa nikupata Kiwanja kikubwa. Ni kama vile mtu unaenda dukani unauliza bei ya suti kama hujaipenda unajibu salio halitoshi unasepa.Nenda ukawadanganye watoto wenzio
Nazani hujaelewa. Hiki cha 20x20 ni kidogo namimi nahitaji kikubwa kutokana na mipango yangu lakini sio kwamba nimeshindwa bei.
Acha ubabaishaji wewe NAMTUMBA,at first ulisema kiwanja ulikiona na ni kizuri ila tatizo salio lako lilikuwa finyu...lkn sasa unakuja na hadithi eti unataka 30 x 40. Jipange upya
Acha story weka plot no na block. Mimi naishi huko. Tatizo ni umeme