Kiwanja chenye hati kinauzwa Chanika

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Kiwanja chenye ukubwa wa SQM.561 kinauzwa Chanika kwa sh.mil. 11. Dar ujenzi umenishinda nataka nikajenge kyela.
 
Fafanua tujue bana, sababu ya kushindwa wala hata usituambie
 
Kipo Buyuni. Bei ni Mil.11 tu kimepimwa na nina hati ila kwa sasa sina uwezo wa kujenga. Nataka nimpishe mwenye uwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…