Kiwanja kina ukubwa wa sqms 625,
Kina Boma lililofika usawa wa lenta
Boma ni lina vyumba vitatu, viwili ni master,dining na sebule .
Eneo..mwembe mdogo kigamboni.
Bei..mil 18.
Mawasiliano 0746 681909
Nb..kiwanja kina hati ya mauziano ,ila zooezi la urasimishaji limeanza.