eneo tayari limeanza kujengwa nyumba yaani majirani na kiwanja hiki na tayari kuna makazi
bei ni 13.5m
kina hati , na kipo tambalale
tuwasiline 0755 099 291 na 0657 145555
kama utakuwa kariakoo au posta unapanda gari za gongo la mboto mpaka mwisho kisha unapanda gari za chanika unakuwa kama unaenda kisarawe. eneo ni zuri lipo tambalale na kuna ujenzi wa nyumba za kisasa unaendelea