Kiwanja cha Ekari 1 kinauzwa Dodoma

mwagito25

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
633
Reaction score
352
Habari wadau, kuna eneo lenye ukubwa wa ekari moja linauzwa kwa shilingi milion moja na nusu , halipo mbali na barabara , na limeshahakikiwa na surveyor. Karibuni
Kwa biashara/maulizo simu piga 0658343464 na whatsapp 0752925925

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka details acha longo longo.. Unataka watu wangapi tuje kupanga foleni PM? weka details hapa ili kuscreen tutakaokuja PM.

Tupo tunaotafuta maeneo Dodoma seriously.
 
Mkuu hilo shamba lipo hombolo kilipo chuo cha serikali za mitaa, eneo lilipo ni wastan wa nguzo 5-7 za umeme ulipo, kwa njia za kuingia mashambani/mitaan linapakana kabisa na njia, bei ni milion moja na nusu , maeneo ya karibu mengi yashanunuliwa, linafaa matumizi mbalimbali itategemea wewe unatakaje.
Karibu mkuu
Weka details acha longo longo.. Unataka watu wangapi tuje kupanga foleni PM? weka details hapa ili kuscreen tutakaokuja PM.

Tupo tunaotafuta maeneo Dodoma seriously.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Asante sana. Umejitahidi kunyulumbuka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…