yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Dec 27, 2016 #1 Nauza viwanja viwli vyenye ukubwa wa 23*22 maeneo ya dege kigambon. Mita 50 kutoka barabara kuu yenye lami. Huduma za kijamii zipo zikiwemo umeme pia. Kwa kua vina ukubwa sawa bei pia znafanana kwa kila kimoja milion 6. Karibu sana 0713806766.
Nauza viwanja viwli vyenye ukubwa wa 23*22 maeneo ya dege kigambon. Mita 50 kutoka barabara kuu yenye lami. Huduma za kijamii zipo zikiwemo umeme pia. Kwa kua vina ukubwa sawa bei pia znafanana kwa kila kimoja milion 6. Karibu sana 0713806766.
N ngivingivi Senior Member Joined Mar 29, 2013 Posts 189 Reaction score 109 Dec 27, 2016 #2 Vina hati?
M Mpira wa kona JF-Expert Member Joined Nov 25, 2016 Posts 350 Reaction score 338 Dec 28, 2016 #3 Mkuu vipi Shamba maeneo hayo ukubwa wa Eka 1?