Nelson Kapaya Member Joined Aug 7, 2014 Posts 99 Reaction score 15 Sep 27, 2016 #1 Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 30m*20m. Bei 1.7 ml. 0753101293
L Lucas Mganda JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 254 Reaction score 180 Sep 27, 2016 #2 huduma ya Umeme na maji ipo karibu? umbali kutoka barabara kuu ni km ngapi?
J J K iii Member Joined Aug 24, 2016 Posts 52 Reaction score 41 Sep 27, 2016 #3 Nilijua Dar nikuvutie waya dk hii. Kwenye upanuzi wa hiyo barabara haipiwi kweli?
Ficus JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,438 Reaction score 1,124 Sep 27, 2016 #4 Kimepimwa? Kina title deed?
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,863 Reaction score 6,581 Sep 27, 2016 #5 Hiki kiwanja kina tatizo gani ? Maana location ,size na bei ni reasonable ila hauuzi tatizo nini? I smell something fishy
Hiki kiwanja kina tatizo gani ? Maana location ,size na bei ni reasonable ila hauuzi tatizo nini? I smell something fishy
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,506 Sep 27, 2016 #6 Acha uhuni wewe. Kiwanja karibu na airport 1.7m? Hapa ndio huwa najiuliza the so called intelijensia kazi yake nini kama si kukamata watu wa hivi kabla hawajaleta madhara?
Acha uhuni wewe. Kiwanja karibu na airport 1.7m? Hapa ndio huwa najiuliza the so called intelijensia kazi yake nini kama si kukamata watu wa hivi kabla hawajaleta madhara?