georgei Senior Member Joined Oct 14, 2009 Posts 110 Reaction score 8 Jan 25, 2014 #1 Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya.
Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #2 Mwambie akitafutie mkunaji.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #3 Nyani Ngabu said: Mwambie akitafutie mkunaji. Click to expand... hamisiiii! .
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #4 Husninyo said: hamisiiii! . Click to expand... Nambie Mwajuma wangu? Mzima weye?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #5 Nyani Ngabu said: Nambie Mwajuma wangu? Mzima weye? Click to expand... mie mzima hamisi wangu, hofu na mashaka kwako nikuonae kwa kiibodi.
Nyani Ngabu said: Nambie Mwajuma wangu? Mzima weye? Click to expand... mie mzima hamisi wangu, hofu na mashaka kwako nikuonae kwa kiibodi.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #6 Husninyo said: mie mzima hamisi wangu, hofu na mashaka kwako nikuonae kwa kiibodi. Click to expand... Eskepu hujaenda?
Husninyo said: mie mzima hamisi wangu, hofu na mashaka kwako nikuonae kwa kiibodi. Click to expand... Eskepu hujaenda?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #7 Nyani Ngabu said: Eskepu hujaenda? Click to expand... ntaendaje bila wewe? Lol
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #8 Husninyo said: ntaendaje bila wewe? Lol Click to expand... Teh teh teh Mwajuma bana Umekula nini leo lakini?
Husninyo said: ntaendaje bila wewe? Lol Click to expand... Teh teh teh Mwajuma bana Umekula nini leo lakini?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #9 Nyani Ngabu said: Teh teh teh Mwajuma bana Umekula nini leo lakini? Click to expand... hahaha! Ulichokula wewe hamisi.
Nyani Ngabu said: Teh teh teh Mwajuma bana Umekula nini leo lakini? Click to expand... hahaha! Ulichokula wewe hamisi.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #10 Husninyo said: hahaha! Ulichokula wewe hamisi. Click to expand... Nimekununulia zawadi Mwajuma.....
M malezu Member Joined Oct 26, 2013 Posts 73 Reaction score 19 Jan 25, 2014 #11 georgei said: Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya. Click to expand... Mwambie akapime ngoma. Au inaweza ikawa kansa ya kizazi. Awahi matibabu, atapaki sasa hivi georgei said: Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya. Click to expand...
georgei said: Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya. Click to expand... Mwambie akapime ngoma. Au inaweza ikawa kansa ya kizazi. Awahi matibabu, atapaki sasa hivi georgei said: Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya. Click to expand...
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #12 Nyani Ngabu said: Nimekununulia zawadi Mwajuma..... Click to expand... hehehe! Nipe basi hamisi. Ahsante.
Nyani Ngabu said: Nimekununulia zawadi Mwajuma..... Click to expand... hehehe! Nipe basi hamisi. Ahsante.
Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,655 Reaction score 8,584 Jan 25, 2014 #13 Husninyo said: hehehe! Nipe basi hamisi. Ahsante. Click to expand... kamalizaneni chumbani huku siyo kwenu sawa Husninyo na Nyani Ngabu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Husninyo said: hehehe! Nipe basi hamisi. Ahsante. Click to expand... kamalizaneni chumbani huku siyo kwenu sawa Husninyo na Nyani Ngabu
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #14 Jipu said: kamalizaneni chumbani huku siyo kwenu sawa Husninyo na Nyani Ngabu Click to expand... Kuna tatizo kwani?
Jipu said: kamalizaneni chumbani huku siyo kwenu sawa Husninyo na Nyani Ngabu Click to expand... Kuna tatizo kwani?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 25, 2014 #15 Jipu said: kamalizaneni chumbani huku siyo kwenu sawa Husninyo na Nyani Ngabu Click to expand... wewe jipu lako lipo sehemu gani? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jipu said: kamalizaneni chumbani huku siyo kwenu sawa Husninyo na Nyani Ngabu Click to expand... wewe jipu lako lipo sehemu gani?
E Eddy mtatina Senior Member Joined Jan 8, 2014 Posts 174 Reaction score 142 Jan 25, 2014 #16 pole sana...
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Jan 25, 2014 #17 aende hospital
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Jan 25, 2014 #18 Kwani ukisema ni wewe unahisi keyboard itajua siri yako?
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Jan 25, 2014 #19 georgei said: Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya. Click to expand... Mwambie abonyeze hapa
georgei said: Kuna mtanzania analalamika sana,anadai anakiupele (kama jipu) kwenye uume wake,eneo la katikati kati ya Korodani na kichwa,in between. utakua ni ugonjwa gani kwa wataalamu wa afya. Click to expand... Mwambie abonyeze hapa
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,151 Reaction score 137,135 Jan 25, 2014 #20 Husninyo said: wewe jipu lako lipo sehemu gani? Click to expand... Ana kijipu uchungu huyo