Koroga nusu kijiko cha chai sodium bicarbonate (sio ile baking powder) kwenye glass ya maji ya kunywa kisha uinywe yote. Kama ni vigumu kupata hiyo bicarbonate tumia hata majivu ya kawaida ya kuni au mkaa. Pole sana. Ila hii ni tiba ya dharura tu -once in a while, ukihitaji tiba sahihi ya tatizo lako badili lifestyle na ulaji wako.