Kituo cha kurekebisha tabia za Wanadamu

Vyemaa sana mkuu.
 
Mwaka huu 2020 tayari naendelea na maandalizi ya kutimiza ndoto hii, Naam, tukae mkao wa kula, bila shaka kabisa mwakani kituo/huduma hii itaanza rasmi. Maandalizi yankwenda vizuri kabisa na ninaona mwanga uking'ara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…