Mtabaki na hali zenu kununua hata bomba la sindano, kulala chini kubanana na ukibahatika kupata kitanda cha "TEREMKA TUKAZE" bila hata kutandikwa mkeka.
sisi tunaenda kutibiwa Marekani.
KARAGHABAHO NA UBOZ'I WAKo!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hahahaha ZIZIM duuh kweli watu tumeichoka hiikitu hii.Ni dalili ya serikali sikivu,iliyochaguliwa kwa kishindo na rais wake ni chaguo la mungu. Mimi iko penda sana ziziemu
Sioni kituko hapo!
Ilikuwa midaya saa 6 hivi mchana huu waleo.minilienda kucheck malaria wakati tupo maabara tulianza kuitwa majina mmojammoja ilikuchukuliwa damukidogo ya sample ilikuipima nakujua ainaya ugonjwa mtuanaoumwa. Ikafikazamu ya Dada mmoja aliitwa akaingia maabara maratukasikia makelele nibaada ya mgonjwa kuambiwa lipiakipimo alafuukanunue bomba lakutolea damu. Dada mgonjwa aliwakasana akawaanahoji tena kwasauti yajuukabisa:Nyinyi vipi yaninimelipiavipimo alafumnaniambia nikanunue bomba duka la dawa nje ya hospitali nyie wehunini.basi wotetukabaki midomo wazituna jiuliza inamana hata bomba za kutolea damu hakuna?.Kweli afya zetu zimewekwa rehani!!.
Nasio afyatuu hatakwenye elimu tunaambiwa elimuyetu ninzuri!! Lakini huyoanaesema elimunzuri muulize wemwanaoanasoma wapi utaskia yupo china, marekani,au england. Tunatakiwa kuamka na kubadilisha hizi kejeli tunazo tamkiwa na wakuuwetu mchanakweupe.
Pesa zenyewe za Vipimo unalipa na hakuna Risiti.
Umeonaee hatamihiloswalinilijiuliza baadae pale mapokezi ukilipa buku unapewa risiti lakini kwenye vipimo unalipa halafu hawatoi risiti,hii nchi kilamtuana chukua chake mapema popote alipo.
Kinachochosha Mgonjwa anakaa kwenye foleni muda mwingi ,akiitwa kuchukuliwa damu anaambiwa hakuna bomba,kama hali imekuwa hivyo ni bora waweke Matangazo milango ya kuingia kwa Madaktari kuwa pindi mgonjwa akiandikiwa kipimo cha Damu basi kabla hajaenda Maabara akanunue Sindano kuliko usumbufu wanaouwafanyia Wagonjwa.
Mnyama. Yaani hiyo sio hosp. Ina vituko kupita maelezo. Hivi bado wanashona wagonjwa bila ganzi? Halafu Dr mleviiiii. Huduma mbovu mnooo hapo. Mimi naishi jirani tu hapo lakini naiogopa kama ukoma.
Nilishawahi kumpeleka mzazi akiwa kwenye uchungu!!! Ilibidi nitoe hela yangu yule mama apate huduma. Sipapendi kabisaaa.
Ila ndio hosp zetu sisi tunaopigia kura CCM.
Mimi kama mwalimu sijapendezwa na uandishi wako.
Mkuu tatizo si magonjwa yote yenye kuhitaji vipimo vya aina hiyo, so ukiona tangazo halafu ukaja na bomba la sindano n.k kisha umekaa kwenye foleni kitambo ukaambiwa hivi haviitajiki si ndiyo itakuwa vita!?
Kinachochosha Mgonjwa anakaa kwenye foleni muda mwingi ,akiitwa kuchukuliwa damu anaambiwa hakuna bomba,kama hali imekuwa hivyo ni bora waweke Matangazo milango ya kuingia kwa Madaktari kuwa pindi mgonjwa akiandikiwa kipimo cha Damu basi kabla hajaenda Maabara akanunue Sindano kuliko usumbufu wanaouwafanyia Wagonjwa.
Baba Mungu!
Adhabu ulizotupa kwa kuichagua CCM inatosha sasa!
Tunaomba tu utusamehe!
Hatutarudia!