Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,207
Mimi huwa napaka mafuta ya mgando usiku na asubuhi wakati wa kuoga nasafisha kidogo tu kwa kidole unakuwa unatoka bila kutumia nguvu. Uchafu unakuwa umejikusanya na kinakuwa kisafi.
mkuu nashukuru sana na mungu akubariki sana njia hii ndio imenisaidia safi sana uchafu unatoka wenyewe.
Yeah, hii ni nzuri kweli, unaweweka mafuta then unakisafisha taratibu either kwa maji na kidole au hata pamba au cottonbuds pia si mbaya.
Na kama una kawaida ya kupaka lotion mwilini ukimaliza kuoga basi na pakaa na kwenye kitovu pia.
Ila kwa njia yoyote ile linapokuja suala la kusafisha kitovu safisha taratibu usitumie nguvu
Angel Nylon lotion napakaa nivea ila nimepaka mara kibao haijanisaidia kwa kweli mafuta ya mgando ndani ya dk 40 impact niliiona.
Nashukuru pia dada Angel Nylon ilikua aibu nikienda swimming kuogelea lazima nivae vest.
Kama kuna madhara si ungekufa wakati unakichokonoa ukiwa mdogo?Tunatofaitiana jinsi mwenyezimungu muumba mbingu na nchi kama alivyoamua.kuna wenye aina tofauti ofauti ya vitovu baina yetu hata kama tumetoka damilia moja .kuna wengine vimezama ndani na wengine vimetokea kwa nje.
Hoja yangu hapa ni kuwa tangu utoto wangu nilipopata fahamu kidogo,nilikuwa nakichezea (kukifanyia usafi) ili kuondoa uchafu ulioko kwenye kotovu.nilikuwa nafanya hivyo kila nilipoina kunauchafu.
Lakini baada ya kukua na kipata uwelewa mzuri kwa maana utu uzima na kuambiwa sio vizuri kukipekenyua ni hatari unaweza kupoteza maisha nimeacha na sasa kuna rundo la uchafu hadi nahisi haibu nikivua shati ninapokua na mwandani wangu au ninapogelea.
Naomba msaada je naweza kikifanyia usafi bila kupata madhara?
sawa mkuuKama kuna madhara si ungekufa wakati unakichokonoa ukiwa mdogo?