Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Mrembo inaonyesha uliwapa sana kazi walimu wako hapo kwenye post kaweka na mkoa lakini bado wauliza.
Leo kuna mashindano perhapsleo nyuzi za kitimoto sijui mme ambizana
Bia au maji...? usikute ulimaanisha maji...ningekudharau sanaSasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,
Uroho tu wa nyama unakusumbua! unajisifia nyama haramu? ungejua maradhi unayojijengea ndani ya mwili wako, ungeitazama hiyo nyama kwa kinyaaa..Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula ndafu! Jamani hata maandalizi yake niyahali ya juu ukiachia usafi.Sasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,,,,,,! Ipo haja ya TBS,TFDA kuanza kutoa tuzo kwa wapika Kitimoto bora. Kwakweli ninamengi ya kuongea ilaniachie hapo kwa sasa. Arusha jamani wee acha tu!
Karibuni.
mianzini ipo arusha
"laini kama keki ya harusi"Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula ndafu! Jamani hata maandalizi yake niyahali ya juu ukiachia usafi.Sasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,,,,,,! Ipo haja ya TBS,TFDA kuanza kutoa tuzo kwa wapika Kitimoto bora. Kwakweli ninamengi ya kuongea ilaniachie hapo kwa sasa. Arusha jamani wee acha tu!
Karibuni.
AISEE TUMA PICHAWadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula ndafu! Jamani hata maandalizi yake niyahali ya juu ukiachia usafi.Sasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,,,,,,! Ipo haja ya TBS,TFDA kuanza kutoa tuzo kwa wapika Kitimoto bora. Kwakweli ninamengi ya kuongea ilaniachie hapo kwa sasa. Arusha jamani wee acha tu!
Karibuni.