Wana Jf wote ;
Habari zenu ndugu zangu!
Naomba mnifahamishe je kitanda kama hiki kinachoonekana hapa chini naweza kukipata wapi kwa hapa Dar ? Au kiwanda kinachotengeza hivyo vitanda.
Binafsi nahitaji kama vitanda vitatu kwa matumizi ya familia - watoto wa kiume, wa kike, na emergency kwa mgeni akinitembelea. Sipendi watoto walale kitanda kimoja au mgeni yeyote kulala chumba au kitanda kimoja na mtoto wangu.
View attachment 549816 View attachment 549816 View attachment 549816