KITANDA 5X6 KINAUZWA sh. 190000

Joseverst nafasi yako nakushikia tu

Ila kipo wapi ni pamoja na Godoro au unaongeza na mashuka
 
Kitanda chenyewe cha kizamani
 
190,000 kwa model hiyo mkuu?
Au godoro pia linauzwa pamoja na kitanda kwa bei hiyo hiyo?
Nakutakia kila la heri ndugu yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…