Kama Mnavyoelewa Shida Ya Usafiri Wa Mbagara
Wajeda Wawili Waliounyuka Kinadhifu Nao Walikuwamo Katika Mtifuano Huo
Sasa Ikatokea Nimewahi Siti Kati Ya Siti Pacha Ila Upande Wa Dirishani Uliwahiwa Na Mjeda Mmoja
Nikajikuta Nami Nimekaa Upande Mwingine ...Kumbe Nilikuwa Nimemuwahi Yule Mjeda Wa Pili, Kwani Lengo Lake Lilikuwa Kukaa Na Mwenzie
Kwakuwa Niliamini Ile Ilikuwa Haki Yangu Niliyomtangulia.....Niling'aka Kuwa Hapa Hatoki Mtu Hata Iwe Vipi!......Nasema Sitoki!....Ikawa Vuta Nkuvute Pale
Ikiwa Safari Ishaanza Na Siti Zote Zimejaa Abiria!........Majibizano Hayakufika Mbali... Mara Ghafla Nilishtuliwa Na Makonde Makali Mfululizo Toka Kwa Mjeda Huyu Hasiye Na Huruma
Nikaona Bora Nimuachie Siti Akae ...Hasije Kuniua Bure.......Na Nilipomwambia Yeye Anapaswa Anilinde Mimi....Mjeda Alinitisha Kunikomesha
ili Kuepusha Shari Nikaona Bora Nishuke Haraka Sana Kituo Kinachofata Ingawa Haukuwa Mwisho Wa Safari Yangu
naomba Wajeda Waache Uonevu
Ahsante Jigo

na ukiendelea na kiburi juu yetu tutakuvunja taya
cc ndo wenye nchi
Hawa wanajifanyaga wababe sababu wana umoja, ukimpiga mmoja kisawasawa anaenda leta wenzake, au hata kama hawajuani ila ni mjeda wataanza kukuchangia. Ila kama uko fiti kiasi, one on one kwenye street fight wanatokaga kamasi. Kuna mmoja aliingiaga choo cho kike kwa wahuni wa kitaa kujifanya mbabe hivyo hivyo, zilimtoka kamasi, alipewa dozi kisawasawa, ila baada ya wk alienda leta wenzake. Binafsi, naheshimu yale magwanda yao tu, akiwa kiraia, tunazipiga fresh tu.
nilijua Siti Mtemvu
Pole sana inaonekana makonde mawili yalikuwa ya kushutikiza....! Jitahidi utafute mafunzo ya kujilinda...wale wanaovaa suruali fupi ...ni wazuri sana kwenye mafunzo hayo...maeneo ya mbagala na kinondoni moscow ama hananasif..wanapatikana.sikuliona Chief
nilijua Siti Mtemvu