Leo nimecheka sana matokeo ya kipima joto kilichokuwa kinauliza " miaka 51 ya mapinduzi ya Zanzibar je malengo yake yametekelezwa? mimi nilishiriki kipima joto hicho na niliandika HAPANA. Lakini matokeo ya leo yanetia shaka kwa kuonyesha hakuna mtu hata mmoja alisema Hapana na 75% wamesema hawajui na 25% kusema ndiyo, wakati waliochangia kwa mitandao wote wamesema HAPANA. Je leo ITV haijatumika kweli kwa minajili ya kisiasa?
poa mkuu lakini wameandika hapana 00
Ukifanya math hiyo ni kama nothng.
Naomba nikupinge mkuu, kimahesabu lazima ingekuwa 000.1 acording to the amount of participants na sio 00 kama ilivyoandikwa. Na je hao wote waliowasoma kupitia mitandao na wote wamesema hapana, je kwa nini waiweke amount hapo?!!
Sijangalia kipima joto nikajua idadi ya kula zote, mkuu point yangu ni kwenye scale ya matokeo inawezekana kula za hapana zikawa ndogo sana hata makadilio ni sawa na hakuna.