unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,869
Msanii wa katuni maarufu kama Kipanya kwa sasa ameamua kuwakilisha kilo cha watanzania kwa watawala bila kuogopa wala kupepesa ebu tazameni hicho kibonzo kwa mwenye akili ataelewa
Huu ugoro wako kadanganye watu wenye mtindio wa ubongo wenzako nyani kikongwe weweSijaelewa unataka kumaanisha nini kwamba nyumba zinabomolewa bila tija au vipi. Kwamba wanaobomolewa wanaonewa au. Hoja yako ni ya kitoto. Kipanya kafanya yake. Lakini wewe kumleta hapa kama hoja ndo nakuona mpumbavu sana. Afu Watu kama nyie bado hamkuwi tu. Kesho kipanya akichora nyingine mtasema kibaraka. Heri mkacheze taarabu tu huko Mombasa. Mana mtu anayefanana na Chura hajulikani lini kasimama lini kachuchumaa ni "NOTHING"
makubwa!! yote yanawezekanaWatamtaka awakojolee
kipanya kaongea uhalisia wewe umeingiza siasa, wallah nchi hii kama ni maendeleo bado mbali sana labda kifyeke hiki kizazi cha sasa kianze kipyaKipanya 2015 wadanganye wazungusha mikono sio great thinkers
Great thinker gani usiejua aina ya ufikishaji huo mwaka unaoelezea ni moja ya aina tu ya ukwepaji mikono ya watawala au wataojihisi na kwa msanii haiwi tija kwa hadhira yake anayoifikishia Ujumbe.Kipanya 2015 wadanganye wazungusha mikono sio great thinkers